Kwa maudhui

nomino (bila kihusishi, bila mwisho wa uccusative) hutumiwa kwa kazi zifuatazo:

kiima

Kiima ni kile kinachofanya tendo. Kiima kiwe daima lazima kwenye mfumo wa nomino:

 • La patro donis al mi dolĉan pomon. - Baba amenipatia tofaa tamu.
 • Ili promenadis. - Wao walitembeya.
 • La soldato pafis. - Mwanajeshi alipiga risasi.
 • Subite granda hundo alsaltis el inter la arbetaĵoj. - Ghafla, mbwa mkubwa alruka akitoka kwenye kichaka.
 • Ĉu vi aŭdis jam tiun historion? - Je,tayari ulishasikia hadithi hii?
 • La folioj faladis de la arboj. - Majani yameanguka kutoka kwenye miti.
 • Tio surprizis min. - Hilo lininishangaza .
 • Estis iam malgranda knabino. - Siku moja palikuwepo na msichana mdogo.
 • Mankas al mi nenio. - Sikosi kitu.
 • Ŝi estas tre maljuna. - Yeye ni mzee sana.

Vocative

Vocative inaonyesha nani mlengwa kwenye maongezi. Vocative kawaida ni jina la msikilizaji, linalosemwa ili awe makini. Vocative kawaida hutenganishwa na maneno mengine kwa halama ya au za mkato. Vocative daima iwe kwa mfumo wa nomino:

 • Elizabeto, ĉu vi scias, kie la hundo estas? - Elizabeth, je unajua ni wapi mbwa yupo?
 • Mi konstatis, kara Petro, ke vi ne estis en la lernejo hodiaŭ. - Niligundua, mpendwa wangu Petro, kwamba haukuwa shuleni leo.
 • Mi deziras al vi bonan tagon, sinjoro! - Nakutakia siku njema, bwana!
 • Estimata prezidanto, mi ŝatus fari jenan proponon. - Muheshimiwa Rais, ningependa kutoa hii.

Nomino

Sehemu ya sentensi ya jina inaweza kuwa na wasifu inayoonyesha utambulisho wa jambo hilo, kwa kawaida na jina lake binafsi. Iyo nominative daima humesimama baada ya neno lake kuu, na iwe kwenye ilo jina:

 • Tio estis en la monato Majo. - Ilikuwa Mei.

  Mwezi huitwa "Mei". Majo ni wasifu wa neno mwezi.

 • Ni vizitis la urbon Seulo. - Tuliitembelea jiji la Seoul.
 • La ĉefurbo de Britio estas Londono, sed ankaŭ en Kanado kaj Usono oni havas urbojn Londono. - Mji mkuu wa Uingereza ni London, lakini pia nchini Kanada na Marekani kuna miji London.
 • Sinjoro Petro kaj lia edzino tre amas miajn infanojn. - Bwana Petro na mke wake wanawapenda sana watoto wangu.

Maranyingi unaweza kuongezakiu nomiĝas mbele ya nomino: monato, kiu nomiĝas Majo; urbon, kiu nomiĝas Seulo; urbojn, kiuj nomiĝas Londono.

Usitumie vihusishi de kabla ya nomino: la urbo de Nov-Jorko, la ŝtato de Keralo, la Popola Respubliko de Ĉinujo. Sahihi ni: la urbo Nov-Jorko, la ŝtato Keralo, la Popola Respubliko Ĉinujo tu.

Linganisha nomino na apposition.

Prediketo

Prediketo ni neno ambalo linaelezea kiima au shamrisho kipozo kwa njia ya prediketo. Prediketo kawaida hufanya nomino.

Prediketo ya kiima

Kitenzi kuwa ni kitenzi kuu kinachounganisha maelezo ya kiima. Vitenzi vingine vinavyoelezea kwa mfano ni (far)iĝi, ŝajni, montriĝi kaj nomiĝi.

Prediketo ya kiima mara nyingi huwa ni (kivumishi) au neno lililotumika kama kivumishi:

 • Ŝi estis terure malbela. - Alikuwa mbaya vyakutisha.

  Terure malbela ni maelezo ya ŝi{2. Yote yanakutanishwa na kitenzi estis.

 • La patro estas sana. - Baba ni mzima wa afya.

  Sana ni maelezo ya baba.

 • La dentoj de leono estas akraj. - Meno ya simba ni mkali.
 • Ili fariĝis trankvilaj. - Wakawa na utulivu.
 • La juna vidvino fariĝis denove fianĉino. - Mjane huyo kijana amepata tena mchumba.
 • Ŝi aspektis kolera. - Alifanana kama amesirika.

  Pamoja na aspekti, hata hivyo, mara nyingi utumia njia ya kielezi cha namna ya adjuct kuliko prediketo ya kivumishi: Katika nguo mpya, ilionekana kama wakifahari na mrembo.

 • Ordinare li ne estas tia. - Kawaida hayuko ivo.

  Maneno yanayotumika kama kivumishi tia inaelezea kiima li kwa kutumia estas.

Prediketo ya kiima inaweza kuwa nomino ya sentensi kwenye uteuzi:

 • Leono estas besto. - Simba ni mnyama.

  Mnyama ni maelezo simba.

 • Januaro estas la unua monato de la jaro. - Januari ni mwezi wa kwanza wa mwaka.
 • Mi scias, kio mi estas. - Najua mimi ni nini.
 • Mia frato fariĝos doktoro. - Ndugu yangu atakuwa daktari.

Prediketo ya kiima pia inaweza kuwa jina na kihusishi. Maelezo kama hayo yanaonyesha sifa au aina. Maelezo haya mara nyingi yanaweza kubadilishwa kuwa kivumishi:

 • Li estas hodiaŭ en kolera humoro. = Li estas hodiaŭ kolerhumora. - Leo yuko katika hali ya hasira. = Yeye yuko na hasira leo.
 • Ili estas de la sama speco. = Ili estas samspecaj. - Wao ni wa aina moja. = Ni aina moja.

Kielezi hutumiwa kama prediketo badala ya kivumishi, kama kiima lililoelezwa ni infinitive au chagizo tegemezi

 • Resti kun leono estas danĝere. - Kukaa na simba ni hatari.
 • Estas pli bone, ke ni tie ĉi manĝu kaj iru en la urbon vespere. - Ni bora zaidi tule hapa na twende mjini jioni.

Tunatumia pia kielezi badala ya kivumishi wakati hakuna kiima. Katika hali hiyo, prediketo huelezea hali yote:

 • Estis al mi tiel terure! - Ilikuwa ni ajabu kwangu!

  Estis terure (Ilikuwa ya kutisha) ni maelezo ya jumla ya hali hiyo.

 • Ĉu hodiaŭ estas varmemalvarme? - Je! ni hali ya joto au ya baridi leo?

Ikiwa kiima ni jina au kiwakilishi kisichosikika vizuri,basi tutumie mfumo wa kivumishi: La mastro traktis min tre bone, kaj estis tre afabla. = ...kaj li estis tre afabla. Estu kuraĝa! = Vi estu kuraĝa!

Prediketo ya shamrisho

Vitenzi vingine vinaweza kutumika kuunganisha maelezo ya shamrisho yao. Ingawa prediketo hizo huelezea shamrisho, hazipaswi kupokea mwisho N:

 • Vi farbas la domon ruĝan. (= Vi farbas la ruĝan domon.) - Unapamba nyumba nyekundu.

  Ruĝan hapa ni wasifu ya nyumba. = Unapamba nyumba hiyo ambayo tayari iko nyekundu. Haijatajwa ni rangi gani ambayo inapakwa kwa sasa.

 • Vi farbas la domon ruĝa. = Vi farbas la domon tiel, ke ĝi fariĝas ruĝa. - Unaremba nyumba iwe nyekundu.

  Ruĝa ni prediketo ya la domon, hivyo ni prediketo ya shamrisho kipozo. wekundu unasababishwa na tendo farbi (kupiga rangi). Hakuna kitu kilichosemwa kuhusu rangi ambayo nyumba ilikuwa nayo kabla. (Mtu anaweza pia kusema: Vi farbas ruĝa la domon. Lakini : Vi farbas la ruĝa domon. haiwezekani)

Prediketo ya shamrisho kipozo inaweza kuwa kivumishi au neno lilotumika kama kivumishi.

 • Ĉu vi farbos vian ruĝan domon verda? - Utapaka rangi yakijani nyumba yako nyekundu?
 • Ne, ni preferas ĝin flava. = Ne, ni preferas, ke ĝi estu flava. - Hapana,tunapendelea iwe ya njano.=hapana,tunapendelea iwe ya njano.
 • Ŝi trovis la Francajn vinojn tre bonaj. = Ŝi trovis, ke ili estas tre bonaj. - Alikuta divai za Kifaransa ni nzuri sana.
 • Neniam mi vidis lin tia. = Neniam mi vidis, ke li estas tia. - Sijawahi kumwona ivo. = Sijawahi kumwona kama yuko hivo.
 • La ĝojo kaj surprizo faris lin muta! - Furaha na mshangao vilifanya bubu!

Wakati mwingine aina hii ya ufafanuzi wa shamrisho ni jibu kwa kiam(lini), na inaonyesha hali ambayo haitegemei na hatua ya ya prediketoi. Katika kesi hiyo unaweza kutumia matumizi ya mwisho N:

 • Ni lin trovis malvivan. = Ni lin trovis, kiam li estis malviva. - Tulimwona hana bila uzima. = Tumemkuta wakati hakuwa na uzima.

  N ya malvivan inaweza kusaidia kwa usahihi, lakini mtu anaweza pia kuiondoa. Bila ya N maana linaweza pia kuwa: Tulimuona, na tunakagunduwa kwamba hana uzima.

 • Mi ŝatas la matenmanĝajn ovojn malmolaj(n). = Mi ŝatas la matenmanĝajn ovojn, kiam ili estas malmolaj. Mi ŝatas, ke la matenmanĝaj ovoj estu malmolaj.

  - Napenda mayai makavu kwa chakula cha asubuhi. =Napenda chakula cha asubuhi cha mayai pindi ni makavu. Wengine hutumia N kwenye aina hii ya sentensi. Wengine wanapendelea kivumishi bila N. Na maana inabaki kuwa moja.

Prediketo ya shamrisho chagizo inaweza kuwa jina

 • Mi elektis lin prezidanto. = Mi elektis lin, ke li estu prezidanto. - Nilimchagua awe rais.
 • Vin mi volas fari mia edzo! = Mi volas fari tiel, ke vi estos mia edzo. - Nahitaji nikufanye mme wangu!
 • Ĉemizojn, kolumojn, manumojn kaj ceterajn similajn objektojn ni nomas tolaĵo. - Shati, kola, sijafu na vitu kama hivyo tunaita nguo.

Kwa vitenzi vingine unaweza kutumia njia nyingine kiel -maelezo:Ili elektis ŝin kiel kasiston.

Wakati mwingine maneno yenye vihusishi yanaweza kuwa prediketo ya shamrisho kipozo.

 • Ŝi lin trovas laŭ sia gusto. = Ŝi trovas, ke li estas laŭ ŝia gusto. - Anamkuta ni wa ladha yake. = Huona kwamba yeye ni ladha yake.
 • Mi preferas ĝin sen sukero. - Naipendelea bila sukari.

Ikiwa shamrisho ni infitive au chagizo tegemezi, basi utumie prediketo ya shamrisho. Hii kimsingi hutokea tu kwa vitenzi opinii (kuwaza) na trovi (kukuta) (wakati wa maana maalum "kuwaza [kwamba kitu kiko aina fulani] "):

 • Ili trovis saĝe forkuri. - Waliona ni jambo labusara wakimbie zao.

  (Wao waliona kwamba kukimbia ilikuwa hekima.)

 • Mi opinias taŭge, ke Petro faru la tutan laboron sola. - Nadhani ni vizuri Petr afanye kazi yote peke yake.

  (Nilidhani kwamba, Petro akifanya kazi peke yake ni jambo jema.)

Kumbuka: Kwa mujibu wa baadhi ya watu wa wanasarufi wanapaswa kutumia kivumishi katika aina hizi za sentensi, kwa sababu wanahisi kuwa mfumo wa kielezi unaweza kutoeleweka kama mfumo wa kivumishi. Kwa hiyo wanapendekeza kusema kwa mfano Ili trovis saĝa forkuri.

Jinsi gani ya kuthibitisha.

ikiwa hatuna uhakika kama ni wasifu au prediketo ya shamrisho, kiwakilishi kinaweza kuchukua nafasi ya shamrisho (lin, ŝin, ĝin, ilin n.k). Tunapenda kuchukua wasifu kwa sababu ni sehemu ya shamrisho. Hata hivyo, tunapenda kuweka prediketo kwa sababu ni kipengele cha sentensi cha kujitegemea muhimu kwa maana ya sentensi: Ĉu vi farbas la domon ruĝan?Ĉu vi farbas ĝin?Ruĝan ni wasifu. Ĉu vi farbas la domon ruĝa?Ĉu vi farbas ĝin ruĝa? Ruĝa ni shamrisho kipozo.

Kurudi juu