Kwa maudhui

Kutusaidia

Shiriki kwa kutangaza Kiesperanto! Kwa mchango wako, unatusaidia kuendelea na kazi yetu!

Paypal

Habari za mtu zilizokamilika hapazitatumika kwa hali ya malipo. Kuendelea kusahihisha,kutumia na kusafirisha habari zetu sehemu husika Usalama wa polisi.

Ili lernu! iwe na inafanye kazi kwa bahati mbaya, washiriki wazuri tu hawafai. Ili iweze kupokea watumiaji wengi, lernu! hutumia seva ya gharama kubwa. Ili tuwe na uwezo wa kufuatilia maendeleo ya mtandao na mbinu za mitandao, kukua na uboresho, lernu! inahitaji wataalamu wa kimitandao. Ili watumiaji wawe na usaidizi thabiti na majibu kwa maswali yao kwa lugha sahihi na mtu mzuri, mtu lazima afuatiliye kila wakati. Vinginevyo, lernu! inataka kuwajulisha Kiesperanto zaidi kwa bidii, kutoa zawadi kwa watumiaji bora, au kutanguliza msamiati na kamusi katika Kiesperanto, ambayo inaonekana pia ina gharama.

Ndiyo maana mchango wako ni muhimu, mkubwa au mdogo! Tunashukuru kwa watu ambao tayari wamesaidiya huyu mradi! Kwa hivyo, ikiwa una uwezo au moyo, unaweza kusaidia kifedha lernu! kwa moja ya njia zifuatazo:

 • Kwa usalama lipa na PayPal kutumia kadi yako ya benki au akaunti yako ya PayPal
 • Lipa kupitiya akaunti ya UEA kwa "lernu-a", tuma maelezo ya malipo kwa UEA, nakala pia katika teamo@lernu.net
 • Tuma pesa kwenye akaunti ya benki ya mmoja wa washirika wetu:

  Kultur- und Bildungsprojekte e.V.
  IBAN: DE13 8306 5408 0204 9295 78
  BIC / SWIFT-kodo: GENO DEF1 SLR
  Anwani ya benki
  Deutsche Skatbank
  Markt 10
  04600 Altenburg

  Esperantic Studies Foundation
  COP STE CATHERINE CP 60502
  MONTREAL QC H1V 3T8

Kurudi juu