Kwa maudhui

Vielezi huonyesha njia, mahali, mara, wingi k.s. Vielezi vina mwisho E kwenye kiesperanto:

  • rapide = kwa hali ya haraka, na haraka
  • bele = kwa njia nzuri, na uzuri
  • urbe = mjini
  • hejme = katika nyumba mwenyewe (s)
  • tage = kwa siku
  • matene = asubuhi
  • lunde = Mu michezo, katika kila mchezo
  • normale = kwa njia ya kawaida, kwa hali ya kawaida
  • multe = kwa kiasi kikubwa
  • alveninte = Baada ya kuwasili

Kwa vielezi vya mahali vinaweza kuonekana mwisho N wa accusative N ya mwelekeo: urben = "kwa mji (miji)", hejmen = "kwa nyumba binafsi". Lakini kielezi hakiwezi kamwe kuwa na mwisho J.

Kwa komparado vielezi hutumiwa pamoja na tumaneno pli na plej.

Matumizi ya vielezi

Kielezi KInaweza kutumika kama shamrisho ala kitumizi ya kitenzi:

  • Ili manĝas rapide. - Wanakula kwa haraka.

    Rapide ni shamrisho ala kitumizi yamanĝas inaonyesha jinsi ya kula.

  • Urbe troviĝas multaj restoracioj. - Kuna migahawa mingi mjini.

    Urbe ni shamrisho ala kitumizi ya troviĝas, na inaonyesha mahali ulipo.

Shamrisho ala kitumizi ya kielezi inaweza pia kugusa sentensi nzima: 

  • Kompreneble mi iros. - Bila shaka nitakwenda.

    Kompreneble inahusiana na sentensi nzima. Haionyeshi namna ya mwendo, lakini inagusa ukweli kwamba nitakwenda. Ukweli wote unaeleweka.

Kielezi pia kinaweza kutumika kama wasifu ya kivumishi, ya kilezi kingine, na ya kaneno ambako kametumika kama kielezi:

  • Ĝi estas sufiĉe granda. - Ni kubwa vya kutosha.
  • Li manĝas terure multe. - Anakula sana vya kutisha.
  • Ili revenos treege baldaŭ. - Watarudi upesi sana.

Kielezi pia kinaweza kuwa maelezo ya prediketo ya kitenzi kwenye infinitive au kwenye sentensi ambatano au changamano:

  • Estas amuze labori. - Ni kufanya kazi kwa fani.

    Kwa fani inaeleza neno labori.

  • Multe maĉi estas necese por bona digesto. - Kutafuna sana ni muhimu kwa mmeng'enyo mzuri

Vivumishi na vielezi vinafanana sana. Kitu ambacho unataka kuelezea ni kuamua ikiwa utatumia kivumishi au kielezi.

Vielezi vya wingi vinaweza kutumika kama majina : Tie loĝas multe (= multo) da stranguloj.

Maneno yanayo tumika kama vivumishi

Baadhi ya tumaneno katika Kiesperanto tunaweza kutumika kama vielezi katika sentensi, lakini hatuna mwishpo wa E. Hizi ni tebo ya maneno E, EL, OM, AM na AL , tumanenopli na plej , kaneno ne , tumaneno ĉi, for, ankoraŭ, baldaŭ, hodiaŭ, hieraŭ, morgaŭ, jam, ĵus, nun, plu, tuj, ajn, almenaŭ, ankaŭ, apenaŭ, des, do, , ja, jen, jes, ju, kvazaŭ, mem, nur, preskaŭ, tamen, tre kaj tro. Tumaneno yanayotumika kama kielezi, lakini katika sarufi hii tunaitwa adverbecaj vortetoj ili kutofautisha vizuri na vielezi hivyo vyenye mwisho wa E.

Kurudi juu