Kwa maudhui

Hapa kuna maelezo mafupi ya maneno muhimu ya kisarufi yaliyotumika katika sarufi hii. Maelezo yaliandaliwa kutoka kwa mtazamo wa sarufi ya Kiesperanto. Katika sarufi zingine (kuhusu lugha ya Kiesperanto au lugha nyingine) maneno hayo yanaweza kutumika kwa njia nyingine. Maneno yanayo elezwa kwenye sarufi ya lernu! yanafuata matumizi ya PAG[4} ya Kalocsay na Waringhien.

kivumishi
Neno linaloelezea jina au kaneno kametumiwa kama jina.
adjunct
Sehemu ya sentensi kinacho zungumziya kwa namna gani, mahali gani, lini, ni chombo gani nk (au hali) tukio limetokeya? Kila sehemu ya sentensi isipokuwa kinachoongelewa , somo , kitu na kujifanya , ni karibu.
kielezi
Neno ambalo linaelezea kitu ambacho sio jina au kaneno kametumika kama jina( kitenzi , kivumishi , kaneno kametumika kama kivumishi, kielezi kingine, kaneno ambako kametumika kama kielezi, au sentensi nzima.
viambishi
Mizizi, ambayo hutumiwa hasa kuunda maneno yalio unganishwa: kiambishi tama au kiambishi awali.
affricate
konsonanti zinazo tamkwa kwa kizuia pumzi akisha kuziacha ili pumzi itoke na pawe sauti.
kauli ya kutenda
Sentensi ya kawaida ambayo kiima kinatenda tendo . Angalia tendewa.
accusative
Maana iyo sauti ya mwisho -N
kielezi cha jina
Neno ambalo (kwa kawaida) linakuja numa ya lingine neno kwa kunyesha hicho hicho kwa tumiya maneno mengine.
chagizo
Kivumishi , kaneno ambako kametumika kama kivumishi, kielezi au neno limetumika kama kielezi ambacho kinaelezea neno jingine.
Infinitive
Mfumo wa kitenzi ambao Unaweza kutumika kama prediketo.
Frikative
Konsontanti zinapotamkwa, hewa huzuiliwa katika ala za matamshi ( ulimi na midomo) na panatoka sauti ya mkwaruzo.
Wakati ujao
Muundo wa vitenzi ambavyo huonyesha vitendo au kuelezea wakati ujao.
Imperative
Hali-tumizi ambayo huonyesha amri (moja ya matumizi yahiari klatika Kiesperanto.
Indicative
Kitenzi kieleziambacho huonyesha kitendo na kuelezea hali ya kawaida.
infinitive
Kitenzihali-tumizi ambayo iko neutral kwa kitendo au hali bila kuonyesha kama ni hakika au maoni.
Kihisishi
chembe hutumika kama mshangao.
kiunganishi
kaneno ambako huashilia maneno ya sentensi yenye shina moja katika sentensi.
irabu
Sauti inayofanywa kwa kuzuia pumzi.
upande
Konsonantihufanywa kwa kuzuia tu katikati ya kinywa. Pumzi inapita kwa uhuru pande za ulimi.
hali-tumizi
Moja ya makundi ya muundo wa vitenzi , ambao huonyesha mtazamo tofauti wa msemaji kwa kauli. Hali-tumizi ya vitenzi katika Kiesperanto ni infinitive , indicative, hiari na masharti .
Pua
Konsonanti zinazozalishwa na uzuiaji kamili katika kinywa. Roho huenda badala yake kupitia puani.
Ukanushi
Maneno ya kukanusha
intransitive
(kuhusu kitenzihakiwezi kuchukuashamrisho
nomino
Nomino/jina au neno limetumika kama nomino, ambalo halina (kiashiria au mwisho wa accusative).
Nambari
Neno ambalo linaonyesha nambari.
shamrisho
Kazi ya sentensi ambayo inaonyesha kile kinachoathiriwa moja kwa moja na tendo la prediketo . Wakati mwingine tunasema "shamrisho kipozo" tofauti na "shamrisho kitondo". Katika sarufi hii "shamrisho kitondo" inaitwa al - adjekto . Shamrisho (kipozo) ya kawaida inaitwa pia kama "accusative shamrisho." Shamrisho kitondo inaitwa pia tangu zamani "dative shamrisho".
participle
Neno linalo wakilisha kitendo au kuelezea hali yakiima au shamrisho.
Kauli ya kutendewa
Aina ya "kinyume" ambayo mfumo wa sentensi ambayo kwenye kauli ya kutenda shamrisho inageuka kuwa kiima.
Lipuo
Konsonantiinayotamkwa kwa uzuiaji kamili ambao unabana kwa kusukuma pumzi.
Wingi
Nambari nyingi za kisarufi: zaidi ya moja.
prediketo
sentensi ya uhuru ambayo huelezeakituaukitukwamaana yakitenzi.
tafsiri
Kitenzi kikuu cha jukumu. kitenzi kilicho na somo .
Kiambishi awali
kiambishiambacho wanaweka mbele ya mizizi.
kihusishi
neno ambalo huonyesha umuhimu wa sentensi ya kifungu kinachofuata.
Wakati uliopita
muundo wa kitenzi ambao huelezea kitendo au hali ya wakati uliopita.
Wakati uliopo
muundo wa kitenzi ambao huelezea kitendo au hali ya wakati uliopo.
Kiwakilishi
nenoambalo hutumika kwa kusimama badala ya jina/nomino.
Umoja
Muundo wa umoja wa Sarufi.
kiima
Ni neno ambalo (kwenye sentensi ya kauli ya kutenda) linaonyesha nani au ni nini anafanya kitendo la prediketo .
kiunganishi
Neno ) linalounganisha kifungu kidogo na kifungu kikuu
Jina/Nomino
Neno ambalo linaloweza kufanya kazi kama neno kuu la kifungu kikuu kiima, shamrisho, kihisishi, shamrisho ala kitumizi , wasifu, nyongezo, au predictive.
Kiambishi tamati
kiambishiambacho huchukua nafasi mwisho wa mizizi.
nyongezo
Maelezo ya moja kwa moja (ya neno ambalo sio kitenzi), uhusiano wake wa neno lililoelezwa linaonyeshwa na kiashiria cha jukumu ( kihusishi au mwisho wa accusative .
transitive
kitenzikinacho weza kuwa na shamrisho.
Kitenzi
Neno ambalo linaonyesha tendo au hali, na ambalo linaweza kutumika kama prediketo ya sentensi. Pamoja na dhana ya kitenzi unangoja infinitive ingawa kitenzi kama hicho haiwezi kukaa kama prediketo.
kinachotetemeka
konsonanti zinazotamkwa na mfululizo wa kubana na kuacha pumzi.
irabu
Sauti inayotamkwa bila kuzuia pumzi, na ambayo inaweza kuchukua accent.
vocative
Neno linaloonyesha nani anaambiwa (mwenye anaelekezwaeko maneno).
hiari
Mfumo wa kitenzi ambao huonyesha kitendo kile ambacho sio kamili ila kinatakwa.
kaneno
Neno ambalo haliitaji kuwa na mwisho lakini ambalo huweza kuwa kwenye sentensi za namna izo jinsi ilivyo.
Kurudi juu