Kwa maudhui

Anstataŭ

Kihusishi anstataŭ (badala ya) hunaonyesha kitu ambacho jukumu lake linatimizwa na kitu kingine, ambacho nafasi yake inachukuliwa na kitu kingine:

 • Anstataŭ kafo li donis al mi teon kun sukero, sed sen kremo. - badala ya kahawa alinipa chai ya sukari,lakini bila ya mtindi.

  Hakunipa kahawa,lakini chai. Jukumu la kahawa (kama kinywaji) lilitwalizwa na chai.

 • Kiam mortis Jobab, ekreĝis anstataŭ li Ĥuŝam el la lando de la Temananoj. - Jobab alipofariki, Ĥuŝam kutoka nchi ya waTemanites alitawala badala yake. (Mwanzo 36:34)
 • Anstataŭ matene, mi nun hejtados la fornon tagmeze. - Badala ya asubuhi sasa nitaongeza joto mchana.

  Mimi sitoongeza joto tena asubuhi, lakini mchana.

 • Anstataŭ ĉia respondo la maljunulino nee skuis la kapon. - Badala ya jibu lolote bibi kizee akajitikisa kichwa chake akionyesha hapana.

  Hakuweza kunipa jibu kamili,lakini alitikisa kichwa kwa kujibu.

 • Ĉu mi ne helpu vin, anstataŭ tio, ke vi sola faru la tutan laboron? - Je! Nisikusaidii, badala ya kufanya kazi yote mwenyewe?

  Sasa nia ni kwamba wewe peke yako ufanye kazi yote. Je! si badala ya hiyo nikusaidie?

 • Anstataŭ ke ĉiu lernas diversajn lingvojn, ĉiuj ellernadu unu saman lingvon. - Badala ya kila mtu ajifunze Lugha tofauti, wote wajifunze moja lugha moja.
 • La aliaj anasoj preferis naĝadi en la kanaloj, anstataŭ viziti ŝin. - Bata wengine walipenda kuogelea kwenye mfereji badala ya kumtembelea.

Krom

Kihusishi krom huonyesha jambo ambalo linazingatiwa tofauti. Maana hii ya msingi inaletaa maana mbili: krom ya kutenganisha na krom ya kuongeza.

Krom ya utengaji

krom ya utengaji inaonyesha kitu ambacho sehemu ya sentensi iliyobaki haina maana . Ikiwa ni hali yakinishi, maana ya krom ya utengaji ni hasi. Hiyo hali yakinishi kama kawaida ina ĉio (kila kitu/kitu chochote) aututa (vyote):

 • Tie estis ĉiuj miaj fratoj krom Petro. - Kulikuwako kaka zangu wote ispokuwa Peter.

  Petro hakuwa kule.

 • Ĉio en ŝi estis juna kaj almenaŭ ŝajne serena, krom la frunto. - Kila kitu kwake ilikuwa ni kijana na angalau kunjufu, isipokuwa paji la uso.

  Paji la uso halikuwa vile.

 • La tuta teksto estas korekta, krom unu frazo. - Nakala nzima ni sahihi, isipokuwa sentensi moja.

  Sentensi moja si sahihi.

Ikiwa sentensi ni yakukanusha (nane (si), neno na NENI-, au sen (bila)), maana ya krom ya ubaguzi inakuwa yakinishi:

 • En la salono estis neniu krom li kaj lia fianĉino. - Kulikuwa hakuna mtu sebuleni ila yeye na mpenzi wake.

  Yeye na mchumba wake walikuwa pale.

 • Ne ekzistas Dio krom Mi. - Hakuna Mungu isipokuwa Mimi. (Kumbukumbu la Torati 32:39)

  Ni mimi Mungu peke yake niliyekuwapo.

 • En la lastaj monatoj mi, krom miaj profesiaj bezonoj, preskaŭ neniam eliras el la domo. - Katika miezi iliyopita mimi, isipokuwa kwa mahitaji yangu ya kitaalamu, karibu kamwe sijaondoka nyumbani.

  Katika kesi ya mahitaji ya kikazi mimi natoka kabisa. (Inawezekana kwa usahihi kusema isipokuwa kwa mahitaji yangu ya kikazi , lakini angalia hapa baada ya badala ya na isipokuwa + vitambulishi vingine.)

 • Marta kuŝis sur la malmola litaĵo sen ia alia sento krom morta laciĝo. - Martha akalala kwenye kitanda ngumu bila hisia yoyote isipokuwa ile ya kuwa amechoka kama mfu.

  Alihisi kuchoka kama mfu kabisa.

 • Mi nenion pli postulus, krom ke oni montru al mi sindonecon kaj estimon. - Nisingependa kuomba kitu chochote zaidi, isipokuwa kunionyesha kujitolea na heshima.
 • Ne ekzistas alia bono por la homo, krom manĝi kaj trinki. - Hakuna kitu knigine kizuri kwa mtu, isipokuwa kula na kunywa.

krom ya kuongeza

Krom ya kuongeza inaonyesha kitu, ambacho ni kina maana. Kwa hicho (baadaye) unaongeza kitu kingine, ambacho kinatumika pia. Kwa kawaida ankaŭ (pia) (labda ankoraŭ au ziko katika sentensi ili kuimarisha maana:

 • Krom Petro tie estis ankaŭ ĉiuj aliaj miaj fratoj. = Aldone al Petro ankaŭ ili estis tie. - Kando ya Peter palikuwepo pia kaka zangu wengine wote.= Ukiongeza Petro, pia walikuwepo.
 • Per pruntedono ofte oni perdas krom sia havo ankaŭ la amikon. = Aldone al tio, ke oni perdas sian havon, oni perdas ankaŭ la amikon. - Kwa njia ya mkopo, mara nyingi hupotea kando ya mali pia na rafiki. = Mbali na kupoteza mali zao, rafiki pia hupotea.
 • La luno ne leviĝis ankoraŭ sufiĉe alte, krom tio estis iom da nebulo. = Aldone al tio, ke la luno ne leviĝis sufiĉe, estis ankaŭ iom da nebulo. - Mwezi haujawahi kutokea juu, na zaidi ya hayo, kulikuwa na umande. = Mbali na ukweli kwamba, kwamba mwezi haukua juu, pia kulikuwa na umande.
 • Krom Karlo, venis lia tuta familio. = Aldone al tio, ke venis Karlo... - kando ya Karlo, familia yake yote nzima ilikuja.=katika nyongeza kwa Karlo kulikuja....
 • Krom tio, ke li venis malfrue, li kondutis tre malbone. - Kando ya kuja amechelewa, hata hivyo alifanya vibaya sana.

Hatari ya kutokuelewa

Kwa kawaida mazingira inaonyesha wazi kama ni krom ya kutenga au ya kuongeza. Ikiwa pako ankaŭ, ankoraŭ, kipindi hicho krom ni ni lazima iwe ya kuongeza. Ikiwa hakuna ayo maneno, na ikiwa ni kauli ya kukanusha, krom ni lazima iwe ya kutenga. Kwa usahihi kabisa, inawezekana kwa maana ya kutenga kutumia badala yake kun escepto, escepte de, escept(int)e + mwisho, au ekskluzive de Kwa maana ya ziada mtu anaweza kutumia aldone al, inkluzive de.

Anstataŭ na krom + vitambulishi

Anstataŭ na krom ni vihusishi tofauti, kwa sababu havionyeshi kwa kweli jukumu! Vinaonyesha tu kuwa kitu kingine kinatimiza jukumu la jambo hilo, au kwamba suala hili linachukuliwa kivyake. Kwa kawaida, mazingira yanaonyesha ikiwa jukumu la kuhamisha ni la kiima, shamrisho, au adject fulani. Ikihitajika, unaweza kuongeza kitambulishi kingine (kihusishi au mwisho N), ambayo inaonyesha jukumu:

 • Li faris tion pro ŝi anstataŭ pro mi. - Alifanya vile kwa sababu yake, badala yangu.

  Ikiwa mtu atasema anstataŭ mi, inaonekana kwamba allichukuwa nafasi yangu kama mtendaji ambaye alifanya hivyo badala ya kuwa nitafanya hivyo. Pro inaonyesha kuwa mi ina jukumu la "sababu", na anachukuwa nafasi yangu.

 • Petro batis Paŭlon anstataŭ Vilhelmon. - Petro akampiga Paulo badala ya William.

  Petro hakumpiga William, lakini Paulo. Linganisha na:Petro batis Paŭlon anstataŭ Vilhelmo. (Petro alipiga Paulo badala ya William . = Si William, lakini Petro alimpiga Paulo.

 • Ili veturis al Londono anstataŭ al Bath. - Walisafiri London badala ya Bath.
 • Kiu alportas oferojn al dioj, krom al la Eternulo sole, tiu estu ekstermita. - Mtu yeyote ambaye hutoa dhabihu kwa miungu, isipokuwa Bwana peke yake, anapaswa kuangamizwa (Kutoka 22.20)

  Bila al inaonekana kwamba ni Bwana tu anayeweza kutoa dhabihu kwa miungu bila kuangamizwa. Al inahitajika kuelewa kwamba Bwana ni mpokeaji wa dhabihu.

 • Neniu rajtas uzi la novan aŭton, krom en la okazo, se mi tion diros. - Hakuna mtu anayeruhusiwa kutumia gari jipya isipokuwa mimi niseme hivyo.

  En inaonyesha kuwa okazo ni adjuct ya wakati.

 • Krom Vilhelmon Petro batis ankaŭ Paŭlon. - Kando ya William Petro pia alimpiga Paulo.

  Mwisho N baada ya krom kweli ni ziada daima, ingawa ni sahihi katika maneno haya. Hakuna mashaka. Hapa nafasi ya ankaŭ inazuia kutokuelewana. Linganisha: Krom Vilhelmo ankaŭ Petro batis Paŭlon. = Mbali na William kumpiga Paulo, Petro pia alifanya hivyo.

Hii inaweza pia kuelezewa na infinitive isiyoeleweka vizuri: ... badala ya kufanya hivyo kwangu. ... badala ya kukuomba ... ... badala ya kumpiga William ... badala ya kusafiri Bath. Mbali na kupiga William ...

Matuminzi ya kujitegemea

Ikiwa unataka kutumia anstataŭ au krom kivyake, bila kutaja ni nani wa jukumu, basi mwisho wa kielezi: anstataŭe = "anstataŭ tio"(badala ya hicho); krome = "krom tio": = "badala ya":(isipokuwa hicho)

 • Li ne donis al mi kafon. Anstataŭe li donis teon. = Anstataŭ kafo... - Hakuweza kunipa kahawa. Badala yake alinipa chai.=Badala ya kahawa....
 • Krome vi devas pagi por matenmanĝo. = Krom tio, kion vi jam pagis... - Vinginevyo unapaswa kulipa kifunguakinywa.=Kando ya hiyo ambayo ulilipia....

Pia inawezekana kutumia mwisho wa kivumishi: Ni devis almeti la anstataŭan radon. = …tiun radon, kiu servas anstataŭ alia rado. Vi devas pagi kroman kotizon. = …plian kotizon, krom tiu kotizo, kiun vi jam pagis.

Krome na kroma daima zina maana ya kuongeza, kamwe ya kutenga/ubaguzi.

Kurudi juu