Kwa maudhui

Kihusishi da huunganisha msemo wa idadi na nomino ya sehemu ya sentensi inayoonyesha "udutu" (kitu ambacho hakina mpaka na kisichojulikana):

Kiasi ''Dutu''
unu kilogramo da pano
litro da lakto
skatolo da rizo
amason da komencantoj
du milionoj da rubloj
iom da valizoj
tiom da feliĉo
multe da problemoj

Idadi inaonyesha ni kiasi gani. Ni nomino, kielezi cha idadi au neno lilotumika kama kielezi cha idadi.

Maelezo ya ''dutu''huonyesha kiasi husika cha:

  • En la botelo estas litro da lakto. - Katika chupa kuna lita ya maziwa.
  • Ŝi aĉetis faskon da ligno. - Alinunua fungu la mbao.
  • Tiu ĉi rivero havas ducent kilometrojn da longo. - Mto una urefu wa kilomita miambili.
  • Mi neniam prenas kun mi multon da pakaĵo. - Mimi kamwe sichukui mizigo mingi.
  • En la urbo troviĝas multe da aŭtoj. - Katika mji kuna gari nyingi.
  • La riĉulo havas multe da mono. - Mtu tajiri anafedha nyingi.
  • Li havas pli da mono, ol li povas kalkuli. - Anafedha nyingi kuliko anavyoweza kuhesabu.

Nambari - unu, du, tri, kvar, kvin, ses, sep, ok, naŭ, dek, cent, mil - haziihitaji da.Hutumiwa kama kichazi cha jina:

  • Tie loĝas du Esperantistoj. - Wa Esperanto wawili huishi huko.
  • Mi havas cent pomojn. - Nina tofaa mia moja.
  • Tiu ĉi vilaĝo havas du mil loĝantojn. - Kijiji hiki kina wazalendo/Wenyeji elfumoja.

majina ya nambari kama miliono, miliardo , deko na cento hata hivyo da inahitaji:

  • Tiu ĉi urbo havas milionon da loĝantoj. - Mji huu na wenyeji Milioni.
  • En la kesto estas cento da pomoj. - Katika sanduku hili kuna tofaa mia.

Kawaida da inasimama mara baada ya neno lake la idadi, lakini kuna mara da inakuwa peke yake. Kisha kawaida neno la idadi unalikuta sehemu nyingine ya sentensi (oda isiyo ya kawaida). Wakati mwingine, hata hivyo, neno la kiasi haisikiliziki vizuri:

  • Da ŝafoj kaj bovoj li havis multe. = Li havis multe da ŝafoj kaj bovoj. - Alikuwa na kondoo na ng'ombe wengi.
  • Da pulvo ni havas kiom vi volas. = Ni havas tiom da pulvo, kiom vi volas. - Poda tuliyonayo ni nyingi kama unayohitaji.

Mwisho N hauwezi kutumikishwa baada ya da

Baada ya kihusishi da kamwe hawatumii mwisho N. Msemo wa dutu da kamwe hiwezi kuwa shamrisho. Maelezo ya kiasi kabla ya da inaweza kuwa shamrisho: Li portas multon da valizoj. (Anabeba mizigo mingi)

Lakini neno la idadi mara nyingi ni kielezi cha idadi au neno lililotumika kama kielezi cha idadi ambalo halina mwisho N wa shamrisho hata kama lina jukumu la shamrisho:

  • La riĉulo havas multe da mono. = La riĉulo havas multon da mono. - Mtu tajiri anafedha nyingi.

    Hakika hapana: La riĉulo havas multe da monon.

  • Kiom da pano vi volas? = Kiel grandan kvanton da pano vi volas? - Unahitaji kiasi gani cha mikate?=Ni kiasi gani cha mikate unahitaji?

    Hapana kabisa:Kiom da panon vi volas?

Wakati gani da haitumiki?

Ikiwa sio suala la kiasi, kipimo au idadi, lakini kwa mfano kuhusu aina, usitumie da, lakini kwa kawaida de:

  • Ni manĝis specon de fiŝo. - Tulikula kipande cha samaki.

    Neno speco (aina, aina) haliwezi kamwe kuonyesha kiasi, kipimo au namba. Kwa hiyo usiseme speco da...:

  • Ĉe ni estas manko de akvo. - Kwetu kuna uhaba wa maji.

    Nenomanko halielezi kamwe kiasi, kipimo au kiasi

  • Pro perdo de kuraĝo ili ne venis. - Kwa kupoteza ujasiri hawakuweza kuja.

    Neno perdo halielezei kiasi, kipimo, au nambari.

Usitumie da kwa uhusiano na kivumishi, hata ikiwa inaonyesha kiasi, kipimo, au namba:

  • Ni renkontis multajn homojn. (= Ni renkontis multe/multon da homoj.) - Tulikutana na watu wengi.

    Vivumishi vya kiasi, multaj(j), kelka(j), pluraj n.k., vinahusiana moja kwa moja na nomino zinazohesabiwa ka chagizo bila ya da .

  • La botelo estas plena de/je akvo. - Chupa limejaa maji.

    Kivumishi plena kwa hali yoyote haielezei kiwango, lakini hali. Pia kielezi plene haionyeshi kiasi: Tie estas plene de/je homoj. Usiseme plena da... au plene da....

  • Tie ni trovis ĉambron plenan de/je rubaĵoj. - Kule tulipata chumba kilichojaa takataka.

Sehemu ya sentensi iliyo na vitambulisho la, tiu, ĉiu, kiwakilishi nafsi ... - inaelezwa, hivyo ina mpaka na ubinafsi (yasiyo dutu). Kwa hiyo usitumie da kabla ya maneno hayo, lakini badala ya de au el:

  • Ni manĝis iom de/el la pano. - Tulikula baadhi ya mikate.
  • Ili aĉetis kelkajn botelojn de/el tiuj vinoj. - Walinunua chupa chache za divai hii.

Kiwakilishi nafsi kawaida huonyesha mtu mmoja au watu kadhaa walioelezwa. Kwa hiyo usitumie da kabla ya kiwakilishi nafsi, lakini badala ya ya au el :

  • Ni manĝis iom de/el ĝi (= el la pano). - Tulikula baadha yao(=baadhi ya mikate).
  • Ili aĉetis kelkajn botelojn de/el ili (= de/el tiuj vinoj). - Walinunua baadhi ya machupayao(ya hii divai).

Ikiwa kiasi au idadi tayari imeonyeshwa kwa nambari au kivumishi, usitumie da, ila de au el:

  • Ŝi pagis kotizon de cent eŭroj. - Alilipa mchango wa euro mia moja.

    Neno kotizo halielezei kiasi. Lakini unaweza kusema ŝi pagis cent eŭrojn da kotizo.

  • Ni gustumis tre multe de unu vino. - Tulionja sana divai moja.
  • Ili manĝis ĉiom de/el tuta bovo. - Walikula ng'ombe mzima.
  • Li trinkis iom de/el kelkaj bieroj. - Alikunywa kidogo kutoka kwenye bia kadhaa.

Ikiwa jina la umoja tayari linaonyesha wazi kiasi kidogo, da halipaswi kutumiwa:

  • Unu tago estas tricent-sesdek-kvinonotricent-sesdek-sesono de jaro. - Siku moja ni mia tatu na sitini na tano au mia tatu na sitini-sita ya mwaka.

    mwaka wenyewe huonyesha muda uliyo na mpaka.

  • Ili fortranĉis duonon de centimetro. - Walikata nusu ya sentimita.

Maneno mengine yanaonyesha kiasi, wakati mwingine kitu kingine. Nia inayotarajiwa inaamua kama da au kihusishi kingine lazima kutumike:

  • Glaso de vino estas glaso, en kiu antaŭe sin trovis vino, aŭ kiun oni uzas por vino; glaso da vino estas glaso plena je vino. - Bilauli ya divai (glaso de vino) ambayo ilikuwemo divai awali, au ambayo inatumiwa kwa divai; bilauli ya divai (glaso da vino) ni bilauli iliyojaa divai.

    Glaso hapa inawakilisha kitu, kwa mwingine inawakilisha kiasi.

  • Ili konstruis grandan reton da/de komputiloj. - Walijenga mtandao mkubwa wa kompyuta.

    Ikiwa maneno granda reto (mtandao mkubwa) inaonyesha ni kompyuta ngapi zilipo, hivyo tuseme da komputiloj. Lakini kama grandan reton inaonyesha jinsi kompyuta zilivyounganishwa (kwa namna ya mtandao mkubwa), kisha tuseme de komputiloj

Matumizi ya da, kwa hiyo, inategemea kile msemaji anataka kusema. Kwa kujisaidia, unaweza kujiuliza swali ambalo sentensi inaweza kujibu:

  • Kiom da soldatoj estis? — Estis grupo da soldatoj! - Kuna walikuwa askari wangapi?-Ilikuwa ni kundi la askari!
  • Kia grupo ĝi estas? — Ĝi estas grupo de soldatoj! - Ni kundi la aina gani?-Ni kundi la askairi!
  • Kiom da rozoj vi volas? — Mi volas bukedon da rozoj! - Ni waridi ngapi unahitaji? -Nahitaji shada la warida!
  • Kian bukedon vi volas? — Mi volas bukedon de rozoj! - Ni aina gani ya shada unayohitaji?-Nahitaji shada la waridi!

Mara nyingi unapaswa kuangalia kama neno linalofuata ni muhimu zaidi (→ da), au neno lililopita (→ de). Grupo da soldatoj (kundi la askari) ni wa kwanza askari (kwa kiasi cha kutosha kuunda kikundi). Grupo de soldatoj ni kundi (linajumuisha askari). Bukedo da rozoj (bouquet ya roses) ni roses (kwa kiasi cha kutosha kufanya bouquet). Bukedo de rozoj (au bukedo el rozoj ) ni bouquet (yenye roses).

Matumizi ya kihusishi da iliendelea na ikaenda inabadilika kiasi fulani juu ya historia ya Kiesperanto. Kwa hiyo katika maandiko ya kale unaweza kuona da mahali ambapo panapaswa kuwa de au el, kulingana na maelezo yaliyo juu.

"Da-ism"

Katika lugha ya Ki-Esperanto, matumizi yasiyo sahihi ya da yameenea; yanaweza kuitwa "da -ism". Katika matumizi haya, da haina uhusiano na na neno la baada ambayo jukumu linaweza kuashiria. Da iliacha kuwa kuhusishi. Katika kesi hii, da inaonyesha tu kwamba maneno yaliyotangulia yanahusiana na kiasi:

  • Mi havas multe da.
  • Kiom da vi volas? Da hapa hainauhusiano na jambo ambalo linafuata vi.
  • Ili kunportis tiom da, ke ĉiu povis ricevi iom da.

Vinavyohusika na hayo ni vitabu vingi ambavyo vinafundisha kwamba da kama inahusiana na ambalo liko kabla yake ni hasa kwa neno lililopita. Lakini da inahusu hasa kile kinachofuata.

Wengine wanasema kwamba ni kutoelewa vizuri kwa kawaida:

  • Mi havas multe da mono.Mi havas multe da. - Nina fedha nyingi.
  • Kiom da viando vi volas?Kiom da vi volas? - Unahitaji kiasi gani cha nyama?

Kwenye huku kutolewa vizuri kawaida unaacha kihusishi: Li estas instruisto de lingvoj.Li estas instruisto. Si: Li estas instruisto de. Kwa hiyo ikiwa unataka kuacha neno baada ya da, basi sisi pia huondoka da.

Tuseme tu: Mi havas multe. (Nina mengi) Kiom vi volas? (Unataka kiasi gani?) Ili kunportis tiom, ke ĉiu povis ricevi iom (Walileta kiasi ambacho kila mtu anaweza kupata.) Maneno kama multe, tiom na iom ni yanaonyesha kiasi yenyewe. Hayawezi kuchukua da kueleza maana ya wingi. Ikiwa, hata hivyo ikiwa unataka kuonyesha nini kinafanya idadi/kiasi, basi tumia da, lakini ni lazima iwe na nomino kama sehemu za sentensi.

Kurudi juu